We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, July 3, 2019

Wanafunzi wafanya mapenzi kinyume, kukwepa mimba

Baadhi ya wanafunzi wa kike katika Shule za Msingi na Sekondari jijini Mwanza, wamedaiwa kujihusisha na mapenzi ya kinyume na maumbile, kwa kile kilichoelezwa kukwepa kubeba mimba na kupelekea kufukuzwa shule.

Hayo yamebainika mkoani Mwanza kwenye kikao cha wadau wa elimu, kilicholenga kujadili mkakati wa kutokomeza mimba za utotoni ikiwemo kutoa elimu juu ya madhara ya kufanya mapenzi, katika umri mdogo.
Matoke Jackson ni Mkurugezi wa Asasi ya Usaidizi wa Kisheria ya Wilaya ya Ilemela (ILABU) ameibainisha kuwepo kwa tatizo hilo kwa changamoto hiyo kwa wanafunzi hasa wa shule za msingi kujihusisha na mapenzi ya kinyume na maumbile.
"Kwenye utoaji wa elimu hii tumegundua mpaka Shule za Msingi sasa ni tatizo, mpaka watoto wa Darasa la nne wanajua namna ya kufanya mapenzi, tena hasa ya mapenzi ya kinyume na maumbile, yamelipuka sana kwenye Shule za Msingi kuliko za Sekondari"  amesema Mateko Jackson

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list