We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Sunday, July 28, 2019

"Tutie mimba ndiyo mjue tunafanya kazi" - UVCCM

Mwenyekiti wa Jumuiya Vjana ya CCM (UVCCM) Taifa, Kheri James amesema chama hicho kitaendelea kuwapuuza baadhi ya watu wanaojifanya hawaoni mafanikio na juhudi zinazofanywa na Rais Magufuli, na kueleza watatumia njia mbalimbali ili kuwaonesha kazi zinazofanywa.

Kheri James ametoa kauli hiyo mkoani Kagera, katika uzinduzi wa Kagera ya Kijani ambapo amehutubia katika mkutano wa hadhara na kuwataka Watanzania waendelee kuwa na imani na Rais Magufuli.
"Ukimsikia mtu anasema hakuna kilichofanyika ujue nao ni ugonjwa, tunatafuta dawa yake, mtu aliyeamua kufumba macho na hana tatizo la macho, asitengenezewe miwani, mfanye aone." amesema Kheri James
"Magufuli anafanya kazi kubwa, ukimsikia mtu anasema hakuna kilichofanyika huo ni ugonjwa, mpaka tumtie mimba mkeo ndiyo ujue tunafanya kazi?", amesema Kheri James
Kwa sasa chama hicho kinaendelea na kampeni ya uzinduzi wa 'kijani' inayofanyika nchi nzima lengo ni kukiandaa chama hicho kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika mwishoni mwa mwaka 2019.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list