We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, July 5, 2019

Tshabalala amkaribisha upya Ajibu Simba

Beki wa kushoto wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' amemkaribisha kwa furaha mshambuliaji Ibrahim Ajibu aliyetambulishwa na kikosi hicho  Jumatano.
Tshabalala nahodha msaidizi wa Simba amemkaribisha kutokana na ukaribu wake na Ajibu ndani na nje ya uwanja.
Ajibu amesajiliwa na Simba ikiwa ni mara ya pili baada ya kuachana nao miaka miwili iliyopita alipojiunga na Yanga.

Tshabalala alisema: "Karibu kwa mara nyingine staa Ibrahim Ajibu."
Tshabalala ataungana na Ajibu wakati wa maandalizi ya Ligi Kuu Bara ambapo Simba inatarajiwa kwenda Afrika Kusini.
Tshabalala alikuwa pamoja na kikosi cha Taifa Stars wakati Ajibu ni miongoni mwa wachezaji wachache waliokuwa wameachwa Dar es Salaam dakika za mwisho kabla ya Taifa Stars kwenda Misri.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list