We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, July 30, 2019

TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA LEO JUMANNE

Inter Milan bado wanaufanyia kazi mkataba wa mshambuliaji Mbelgiji Romelu Lukaku licha ya kuweza kupata mkataba na Manchester United kwa ajili ya kijana huyo mwenye umri wa miaka 26. (Sky Sports)
Mlinzi wa Argentina Marcos Rojo, mwenye umri wa 29, ataangalia uwezekano wa kuondoka Manchester United ikiwa anaamini fursa za timu ya kwanza itakuwa ndogo kwa msimu ujao. (ESPN)
Rais wa Lazio Claudi Lotito amefichua kuwa yuko wazi kwa wazo la kumuuza kiungo wa kati wa Serbia -Sergej Milinkovic-Savic, mwenye umri wa miaka 24 anayelengwa na Manchester United ikiwa wataombwa kufanya hivyo. (Mail)
Juventus amethibitisha kuwa kumekuwa na ofa kwa ajili ya mshambuliaji wake raia wa Argentina Paulo DybalaHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionJuventus amethibitisha kuwa kumekuwa na ofa kwa ajili ya mshambuliaji wake raia wa Argentina Paulo Dybala
Mchezaji mwenza wa Neymar katika kikosi cha Paris St-Germain Marco Verratti anakiri kuwa klabu hiyo lazima imuuze mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 27- raia wa Brazil ikiwa hana raha katika Parc des Princes, licha ya kocha despite c utashi wa Thomas Tuchel wa kutaka mchezaji jhuyo abaki kikosini. (Express)
Juventus amethibitisha kuwa kumekuwa na ofa kwa ajili ya mshambuliaji wake raia wa Argentina Paulo Dybala, huku kukiwa na nia ya kumnunua mchezaji huyo kutoka kwa Manchester United na Tottenham ya kumnunua . (Mirror)
Real Madrid wamemuambia mshambuliaji wa safu ya kati wa MColombia James Rodriguez, mwenye umri wa miaka 28, kwamba atakuwa katika Bernabeu. (AS - in Spanish)
Crystal Palace wamepanga kuwasilisha dau la pauni milioni 5 la kutaka kumnunua mchezaji wa Newcastle na Jamuhuri ya Ireland anayecheza safu ya kati nyuma Ciaran Clark, mwenye umri wa miaka 29. (sun)
Real Madrid wamemuambia mshambuliaji wa safu ya kati wa MColombia James Rodriguez kuwa atabaki BernabeuHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionReal Madrid wamemuambia mshambuliaji wa safu ya kati wa MColombia James Rodriguez kuwa atabaki Bernabeu
Everton wanaangalia uwezekano wa kumhamisha kiungo wa kati wa Southampton na Gabon Mario Lemina, mwenye umri wa miaka 25, pamoja na mchezaji wa Chelsea na England kutoka kikosi cha vijana wenye umri wa chini ya miaka -21 Fikayo Tomori, mwenye 21 anayecheza katika safu ya ulinzi . (Sky Sports)
Meneja wa Newcastle Steve Bruce haamini kuwa mashabiki wa klabu hiyo watasusia mechi ya kwanzaya msimu dhidi ya Arsenal. (Talksport)
Swansea City wanaangalia uwezekano wa kumnunua mshambuliaji wa Mskochi Oli McBurnie mwenye umri wa miaka 23 kutoka Sheffield United. (Wales Online)
Everton wanaangalia uwezekano wa kumhamisha kiungo wa kati wa Southampton na Gabon Mario LeminaHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionEverton wanaangalia uwezekano wa kumhamisha kiungo wa kati wa Southampton na Gabon Mario Lemina
Real Madrid wamepokea ofa kutoka kwa Roma na Monaco kwa ajili ya mshambuliaji wa Dominican Mariano, mwenye umri wa miaka 25. (AS - in Spanish)
Lille wanaangalia uwezekano wa kuwaajiri washambuliaji wawili au watatu kwa Euro milioni 115 (£104m) wanazotarajia kuzipata kutokana na mauzo ya wachezaji Nicolas Pepe na Rafael Leao. (RMC Sport - in French)
Meneja wa Newcastle Steve Bruce haamini kuwa mashabiki wa klabu hiyo watasusia mechi ya kwanzaya msimu dhidi ya ArsenalHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionMeneja wa Newcastle Steve Bruce haamini kuwa mashabiki wa klabu hiyo watasusia mechi ya kwanzaya msimu dhidi ya Arsenal
Mshambuliaji wa zamani wa timu ya Germany Jurgen Klinsmann, mwenye umri wa miaka 55 Jumanne anafanya mazungumzo na VfB Stuttgart ili kuwa mkurugenzi wao mkuu wa kwanza kabisa. (Bild - in German)
Mlindalango wa Real Madrid Thibaut Courtois, mwenye umri wa miaka 27, hana uhakika kuhusu mwango wa La Liga baada ya kuumia kiwiko . (Evening Standard)
kiungo wa kati wa Ireland midfielder Sam Foley,mwenye umri wa miaka 32,ambaye ni wakala huru ,anakamilisha taratibu za kuhamia St Mirren. (Record)

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list