Imeelezwa kuwa kiungo wa klabu ya Simba SC, Haruna Hakizimana Niyonzima yupo kwenye mazungumzo ya mwisho na timu ya As Vita Club ya nchini Congo.
Niyonzima ametangaza kuachana na Simba baada ya mkataba wake kumalizika hivyo kwa sasa yupo huru kujiunga na timu atakayokubaliana nayo.
Kiungo huyo mwenye uwezo wa kukaa na mpira, kupiga chenga za maudhi amesema kuwa wakati wake ukifika wa kutaja timu atakayotua msimu mpya atawaambia mashabiki.
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment