Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na RushwaTAKUKURU Mkoa wa Arusha imesema kuna shahidi amefikishwa Mahakamani kutokana na kutoa ushahidi wa uongo Mahakamani, Kauli hiyo imetolewa na Kamanda wa TAKUKURU Arusha Frida Wikesi ambapo amesema watu wengi wamekuwa wakitoa taarifa za uongo katika vyombo vya dola.
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment