Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanriametoa siku mbili kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Tabora (Uyui) kuhakikisha Wafanyakazi na Wakuu wa Idara kuhamisha makazi ndani ya Wilaya, maelekezo yaliyotolewa na Serikali ili kurahisisha huduma kwa wananchi.
“Uniletee majina ya Watumishi wote ambao wote wanaishi Manispaa utapita nyumba kwa nyumba, chumba kwa nyumba uone kama kuna mtu anakaa hapa kwa maana yake utakuta nguo zimeanikwa, nitafutie wawili au watatu” RC Mwanri
No comments:
Post a Comment