Shirikisho la soka duniani FIFA limetoa ratiba ya michezo ya hatua ya awali ya kusaka tiketi ya kushiriki fainali za kombe la dunia zikazofanyika mwaka 2022 nchini Qatar
Mchezo wa kwanza Tanzania itaanzia ugenini dhidi ya Burundi na baadae mchezo wa marudiano kupigwa jijini Dar es salaam
Michezo hiyo itapigwa kati ya Septemba 2-10 2019
Kama Tanzania itavuka hatua hiyo, itaingia kwenye makundi kuwania moja ya nafasi tano za Afrika kwenye michuano hiyo

No comments:
Post a Comment