We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, July 29, 2019

Ridhiwani amwangushia jumba bovu Bocco


MBUNGE wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ameweka wazi sababu zilizoiangusha timu ya Taifa 'Taifa Stars' kuwa ni kukosa muda wa kukaa pamoja na kumwagia lawama mshambuliaji John Bocco.


Stars imeshindwa kutumia uwanja wa nyumbani dhidi ya Kenya katika mchezo wa wanza wa kufuzu fainali za Chan baada ya kuambulia pointi moja kwa matokeo ya bila kufungana.

Akizungumza mara baada ya mchezo huo kumalizika, Ridhiwani alisema nyota waliotoka kikosi cha Simba hawakuwa na umuhimu wa kucheza kwani hawakukaa pamoja na wenzao kama ilivyokuwa kwaSalum Aiyee na Kelvin John.
"Washambuliaji hao wamekaa pamoja kikosini na kuzoea mfumo wa mwalimu timu ni mpya ndio kwanza inatengenezwa na ipo chini ya kocha mpya, Ettiene Ndayiragije ambaye pia ana mfumo wake mpya,"

"Mwalimu pia alitakiwa kupewa muda wa kukaa muda mrefu na kikosi cha timu ya taifa kuwasoma wachezaji wanahitaji nini kwa muda gani ili kumpatia matokeo mazuri kama alivyokusudia," alisema.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list