Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri wa Tabora ameendelea na jukumu la ukaguzi wa miradi ya maendeleo inayojengwa na fedha kutoka Serikali Kuu, akiwa Wilaya ya Uyui amekagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ambapo amemuagiza Mkaguzi wa ndani kupitia upya matumizi ya fedha inayotumika katika ujenzi huo.
“Kama jingo limejengwa kwa namna ile pale tunategemea saving itakuwa kubwa, mi sikagui majengo tu hapa naangalia thamani halisi ya fedha iliyoletwa we umewahi kuona jengo linakamilika hakuna hata senti tano iliyopungua au kuzidi” RC Mwanri
No comments:
Post a Comment