We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, July 4, 2019

Rais Magufuli kuzindua Hifadhi ya Taifa ya Burigi Chato

Leo July 2, 2019 Kutoka Mkoani Mwanza tunaambiwa Rais Dk. John Magufuli anatarajia kuzindua rasmi hifadhi ya taifa ya Burigi Chato July 9 mwaka huu.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamis Kigwangala wakati wa ufunguzi wa mkutano wa mwaka 2019 wa TANAPA kwa Wahariri na Wanahabari waandamizi uliofanyika Jijini Mwanza.
Awali hifadhi ya taifa ya Burigi Chato ilikua pori la akiba lililojulikana kwa jina la Burigi kabla ya kupandishwa hadhi.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list