Leo July 1, 2019 Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela, Lucy Mgangakwa kutoridhishwa na utendaji kazi wake.
Taarifa ya utenguzi huo imetolewa leo jijini Dodoma na waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...
No comments:
Post a Comment