We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, July 25, 2019

Rais Magufuli aagiza mabadiliko ya haraka

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli, ameagiza mchakato wa kufanya marekebisho ya sheria ya TAZARA, ili kuwezesha kila nchi kuwekeza katika shirika hilo kwa lengo la kuboresha usafirishaji wa abiria na mizigo.

Rais Magufuli ameyabainisha hayo leo Julai 25, alipopanda treni ya TAZARA kutoka Dar es salaam kuelekea Kisaki Mkoani Morogoro, ambapo amezungumza a viongozi wa TAZARA na kuwataka kuwasilisha mapendekezo yao, juu ya hatua zinazopaswa kuchukuliwa ili kuboresha usafirishaji.
Reli ya TAZARA ina uwezo wa kusafirisha tani milioni 5 za mizigo kwa mwaka, lakini kutokana na  uwekezaji mdogo kuna upungufu mkubwa wa Injini na Mabehewa na kupelekea kusafirisha mizigo chini ya tani laki 3 kwa mwaka.
Rais Magufuli ameongozana na mke wake Mama Janeth Magufuli, ambapo kesho Julai 26 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za kuweka jiwe la msingi, katika mradi wa uzalishaji wa umeme katika mto Rufiji.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list