We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, July 25, 2019

Bukaba aungana na Mo Ibrahim Namungo Fc

Beki wa Simba Paul Bukaba amesajiliwa na klabu ya Namungo Fc kwa mkopo wa mwaka mmoja
Bukaba ameungana na kiungo Mohammed Ibrahim 'Mo' ambaye pia amesajiliwa na timu hiyo kwa mkopo wa msimu mmoja
Nyota hao wawili, ni kati ya wachezaji watano waliotolewa kwa mkopo na klabu ya Simba kwenda timu nyingine
Wengine ni Adam Salamba, Mohammed Rashid na Marcel Kaheza

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list