Kiungo Pius Buswita ni miongoni mwa wachezaji ambao mikataba yao imemalizika Yanga na hawako kwenye mipango ya kocha Mwinyi Zahera
Kiungo huyo aliyetua Yanga kutoka Mbao Fc misimu miwili iliyopita, huenda akaibukia klabu ya Kagera Sugar ambayo tayari imewasajili wachezaji wa zamani wa Yanga Geofrey Mwashiuya na Yusufu Mhilu
Buswita alikosa nafasi ya kudumu kwenye kikosi cha Zahera na sasa anahitaji kupata changamoto mpya ili aimarishe kiwango chake

No comments:
Post a Comment