We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, July 4, 2019

Ndugu wa waliofariki kwenye ajali za ndege Boeing 737 MAX kulipwa Dola Milioni 100

Kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeingimetangaza kwamba itatoa Dola Milioni 100 kwa familia, Serikali na Mashirika yasiyo ya kiserikali ya Ethiopia na Indonesia ili kusaidia familia za watu waliopoteza maisha kwenye ajali mbili za ndege muundo wa 737 MAX.
Kwa mujibu wa Reuters, hatua hiyo ni katika juhudi za kuimarisha taswira ya kampuni hiyo ambayo hadhi yake imeshuka kwa kiwango kikubwa katika siku za karibuni,
Aidha, hii ni kufuatia ajali ya mwezi Machi mwaka huu iliyozua utata, ambapo abiria wote 157 wa ndege ya shirika la Ethiopia Airlines waliokuwa safarini kutoka Addis Ababa, Ethiopia, kuelekea Nairobi nchini Kenya na ile ya ndege ya Shirika la Indonesia Airlines iliyotokea mwaka 2018.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo, Dennis Mullenburgh, amesema kuwa pesa hizo zitatolewa kwa kipindi cha miaka kadhaa ijayo ingawa hakutoa utaratibu utakaofuatwa.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list