We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, July 29, 2019

Mzee Makamba"Nilichagua Heshima Katika Uongozi Wangu na Sio Tamaa"


Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba amesema heshima na tamaa havikai katika nyumba moja na kwamba heshima ndio iliyomfanya afike hapo alipo.

“Aliniambia mwanangu Yusuph mambo mawili heshima na tamaa havikai nyumba moja akaniambia nichague kimoja nikachagua heshima nimefika hapa nimefika hapa,”alisema Makamba

Aliongezea kuwa “Hayo maneno na mwanangu January ndio anavyofanya nilimuambia January kama unataka kufanya siasa zingatia heshima na tamaa havikai nyumba moja chagua moja. Kama unachagua heshima tumikia watu utakwenda tu.. mimi nilikuwa naenda kama mdudu nilichagua watu waliwahi kwenda hadi Morogoro eti mzee makamba anajenga hoteli kubwa sana ina vyumba 40maana hoteli yangu ina vyumba 40,” alisema

Alisema watu wa maadili walikwenda kuchunguza nikawaambia watazame hizo fedha alizokopa akatumia kujenga hoteli.

“Mungu amenijalia nimestaafu sina deni sitaki kuwaachia watoto wangu taabu,” alisema Makamba.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list