We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, July 26, 2019

Mwalimu mwenye mamlaka ya kumchapa mwanafunzi

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia elimu Tixon Nzunda, ameagiza walimu waachane na matumizi ya viboko shuleni kwani viboko hujenga hofu na uwoga kwa wanafunzi.

Naibu katibu Mkuu amesema, mwenye mamlaka ya kuchapa viboko shuleni ni mwalimu mkuu peke yake, walimu wengine hawapaswi kufanya hivyo labda kwa kibali chake, ambapo amesema amekuwa akichukizwa na tabia iliyojengeka kwa walimu kwamba ukimchapa mwanafunzi ndio kumuinua mtoto kielimu.
Nzunda ameongeza kuwa kama hilo watashindwa basi angalau uwekwe utaratibu wa marufuku mwalimu kuingia na kiboko darasani.
"Acheni watoto wawe huru, wajengeeni uwezo wa kujiamini ili waweze kujiamini, ili kesho waje kuwa walimu wazuri na waipende kazi ya ualimu, wengine wanaichukia kazi ya ualimu kwasababu wanaona toka wanaingia shule walimu wao ni fimbo tu, " amesema Nzunda.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list