We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, July 29, 2019

Mbunge Mwigulu ampa za uso Zitto


Mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba amemtaka kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe kutambua Rais John Magufuli ametekeleza ilani kwa kiwango cha juu.

Nchemba ambaye alishawahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nchi aliandika ujumbe huo kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Twitter akimtaka Zitto kutambua mafanikio ambayo ameyafanya Rais Magufuli.

Aliandika ujumbe unaosomeka hivi”Bwana Zitto elewa Rais Magufuli ametekeleza ilani kwa kiwango cha juu sana umeme zaidi ya vijiji 7,100 mpaka sasa na kazi inaendelea, lami imefungua mikoa ya Singida, Tabora, Simiyu na sasa mpaka Kigoma usikoona,”

Bwana ZITTO, elewa, Rais MAGUFULI ametekeleza Ilani kwa kiwango cha juu Sana, Umeme zaidi ya Vijiji 7,100 mpaka sasa na kazi inaendelea, Hospitali zaidi ya Tarafa 350 na Kazi inaendelea, Lami imefungua mikoa ya Singida, Tabora, simiyu, na sasa mpaka Kigoma usikoona

View image on Twitter

161 people are talking about this

2.Maji zaidi ya asilimia za kwenye ilani, Mabweni Kazi inaendelea. Haya Ni ya jamii tu, Njoo miradi ya Kihistoria, kama SGR, Nyerere power Station ya Rufiji, Ndege, Vivuko, Meli na Madaraja ambavyo hata usipovisemea vizuri wewe, Watoto wako na wajukuu watakuja kusema kuwa..

View image on Twitter

21 people are talking about this

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list