We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, July 29, 2019

Lulu Diva ndani ya mahusiano mapya na Jaguar, Aitetea ile kauli ya kuwapiga wafanyakazi wa kigeni ‘Wabongo tulipaniki, Aliwatetea wananchi wake’

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Lulu Diva amesema kuwa kauli ya Jaguar ya kuwapiga na kuwafukuza wafanyabiashara wa kigeni nchini Kenya ilikuwa ni ya kisiasa na ililenga kuwasaidia wananchi wake.

Akiongea na Bongo5, Lulu Diva amesema kuwa ni kawaida sana kwa kiongozi kutetea wananchi wake, Na kudai kuwa Watanzania walipaniki kupitia ile kauli lakini ilikuwa ni ya kawaida.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list