We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, July 2, 2019

Lugola aagiza watumishi watatu Nida wasimamishwe, magari yarejeshwe

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amemuagiza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA,)kuhakikisha magari matatu yanayomilikiwa kinyume na uataratibu na waliokuwa watumishi wa mamlaka hiyo yanarudishwa Ofisi za NIDA ikiwemo gari lenye Namba za Usajili STK 2524 Land Cruiser linalomikiwa na aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Dickson Maimu.
Akizungumza baada ya kikao na Uongozi wa juu wa NIDA Waziri Lugola aliyataja magari mengine kuwa ni STK 4671 Land Cruiser linalomikliwa na Paul Bwathondi na STJ 1633 linalomilikiwa na Sabina Nyoni.
Pia amemuelekeza Mkurugenzi Mkuu kuwasimamisha kazi watumishi watatu wa NIDA baada ya vifaa mbalimbali vyenye thamani ya Milioni Kumi na Tano kuibiwa katika kituo cha kuhifadhia kumbukumbu kilichopo kibaha mkoani Pwani.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list