Jeshi la Polisi Dodoma kwa kushirikiana na Mamlaka ya mawasiliano nchini TCRAimeendesha operation maalum ya kukagua mawakala wanaosajili line za simu ili kubaini makosa mbalimbali ikiwemo kufanya udanganyifu ikiwemo kusajili zaidi ya mtu mmoja kwa kutumia kitambulisho kimoja.
Kamanda wa Polisi Gilles Murotoamezungumza na Waandishi wa habari na kuwaeleza hatua zilizochukuliwa kwa watuhumiwa waliowakamata na kutoa onyo kwa wale wanaoendelea na michezo hiyo.
No comments:
Post a Comment