Waziri ofisi ya rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa TAMISEMI Seleman Jaffo amewataka watumishi wliochhini ya wizara kuongeza juhudi katika utendaji kazi huku akisifu kuwa katika wizara tatu zinazofanyakazi katika awamu hii mojawapo ni TAMISEMI
"Rais alivyokuwa akihutubia bunge aliitaja TAMISEMI ni wizara inayokithiri katika uzembe kwa miradi isiyokamilika lakini leo naomba niwaambie katika wizara tatu TAMISEMI imo" waziri Jaffo
Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila Mara kusoma habari MPYA
No comments:
Post a Comment