Beki kisiki wa Simba Pascal Wawa ataendelea kubaki Msimbazi baada ya kusaini mwaka mmoja
Uongozi wa Simba umethibitisha kumuongezea mkataba Wawa aliyetua Msimbazi msimu uliopita
"Beki kisiki wa kati, Pascal Wawa ni rasmi sasa kwamba ataendelea kuwa sehemu ya kikosi cha Mabingwa wa nchi baada ya kusaini mkataba mpya wa mwaka mmoja," imesema taarifa ya Simba iliyotolewa saa saba leo Jumatatu
No comments:
Post a Comment