Uongozi wa Simba tayari umemtambulisha kiungo Francis Kahata aliyetua kutoka klabu ya Gor Mahia
Kahata amesaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia mabingwa wa nchi
Usajili wa kiungo huyo fundi ulikuwa ukisubiriwa kwa hamu na Wanamsimbazi
Kuchelewa kukamilika kwa baadhi ya michakato kumepelekea fundi huyo kutambulisha jioni tofauti na ilivyozoeleka saa saba mchana

No comments:
Post a Comment