Hatimaye leo mtoto katambulishwa nyumbani!
Ndio uongozi wa Simba leo umemtambulisha rasmi kiungo Ibrahim Ajib baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia mabingwa wa nchi
Usajili wa Ajib ulikuwa ukisubiri kutambulishwa tu kwani ulikuwa umekamilika kwa muda mrefu
Fundi huyo wa mpira sasa amerejea Msimbazi kuungana na mafundi wengine kina Chama, Mkude huku fundi (Kahata) akisubiriwa kwa hamu

No comments:
Post a Comment