We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, July 29, 2019

Biteko amvaa Mbunge CCM “usimpangie RC marafiki”, afuta leseni 12 (+video)

Waziri wa Madini Dotto Biteko amesema Serikali imepokea itafanyia kazi taarifa ya kamati teule iliyoundwa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti ya kushughulikia migogoro ya mipaka na mitobozano katika eneo la wachimbaji madini Mkoani humo.
Akizungumza na baada ya kupokea ripoti hiyo amesema Mkuu wa Mkoa anapaswa kuwa na marafiki wa aina zote bila kupangiwa ilimradi haki ipatikane ambapo amesema wamefungia leseni za uchimbaji zaidi ya elfu kumi na mbili kwa kutokulipa ada ya leseni.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list