Baadhi ya Wafanyabiashara waliokutana na Chama cha Biashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA) wakiwa na Wakuu wa Wilaya tatu wamefunguka kero zao huku wakidai Arusha imekuwa na ujanja ujanja mwingi nakuwepo kwa Madalali wengi amabao hawajasajiliwa.
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment