AFCON 2019: Kocha Amunike azungumzia mabadiliko atakayofanya kuelekea mechi ya Tanzania vs Algeria
Kocha wa Taifa Stars Emmanuel Amunike asema amemua kufanya mabadiliko kwenye kikosi chake kitakachocheza leo dhidi ya Algeria ili kuwajengea wachezaji wote uwezo wa kujiamini kwakuwa yeye ni kocha asiyeamini kwa mchezaji mmoja.
Asisitiza kuwa mabadiliko hayo hayataathiri muundo (shape) wa timu.
Naye Kocha wa makipa wa Taifa Stars Emecka Amadi anawatoa hofu Watanzania kuhusu golikipa atakayesimama langoni kwenye mchezo wa leo dhidi ya Algeria.
Mechi ni leo Julai 01, 2019, saa 4:00 usiku LIVE HAPA HAPA
Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila Mara kusoma habari mpya
No comments:
Post a Comment