Mkali wa masauti katika 'game' ya Bongo Fleva, Christian Bella, ameweka wazi kinachoendelea juu ya fununu kuwa anatoka na msanii, Hamisa Mobetto.
Bella amesema hayo akipiga stori na eNewz ya EATV, ambapo amesema kuwa pindi anapomuona Mobetto anaona sura za watu ambao ameshatoka nao, jambo ambalo linaweza kumfanya aonekane tofauti.
"Shemeji kabisa, ukimuangalia kuna sura za washkaji kabisa, kidogo watauliza 'vipi mzee'", amesema Christian Bella.
Mtazame hapa akizungumza zaidi.
No comments:
Post a Comment