We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, June 21, 2019

Serikali yajibu kuhusu polisi kuwategemea Wabunge

Mbunge Stanlaus Mabula amehoji juu magari ya polisi kutotengenezwa katika gereji za kisasa kama ilivyokuwa kwenye magari ya viongozi, huku akieleza mara nyingi polisi hao wamekuwa wakitegemea hisani ya Wabunge.

Mbunge Mabula ametoa kauli hiyo Bungeni jijini Dodoma wakati wa kipindi cha maswali na majibu alipokuwa akiuliza swali la nyomngeza kwenda kwa Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi.
Swali
Mbunge Mabula aameuiliza kuwa : Mb. Mabula : Magari ya polisi yanategemea hisani ya Wabunge, nini mkakati wa Serikali?
Majibu ya Waziri
Naibu Waziri Masauni : Changamoto kubwa ni bajeti, wakati mwingine magari haya yanahitaji matengenezo makubwa ambayo yanahitaji fedha, niwapongeze wadau wanaojitokeza.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list