Klabu ya Racing Katanga Stars kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo iko katika mchakato wa kumsajili winga aliyemaliza mkataba kunako klabu ya Yanga, Mrisho Ngasa
Inaelezwa mabosi wa timu hiyo wako nchini kukamilisha dili hiyo Ngasa aliyeifungia Yanga mabao manne msimu uliopita
Racing Katanga pia imemsajili Ramadhani Singano 'Messi' aliyetemwa na Azam FC
Ngasa ni miongoni mwa wachezaji ambao wamemaliza mikataba Yanga na alikuwa akisubiri kupewa mkataba mpya
No comments:
Post a Comment