We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Sunday, June 30, 2019

Mtoto anavyopelekwa Shule kwa kufungwa kwenye mfuko wa plastiki (+video)

Leo June 29, 2019 Nakusogezea story kutoka nchini Vietnam ambapo kila asubuhi wazazi hawa wa Kivietinamu humfunga kwa uangalifu Mtoto wao ndani ya mfuko wa plastiki ili wanapomvusha mto kwenda shule nguo zake zisilowane.
Baada ya masomo kumalizika, baba huyu humfuata mwanae na kumvusha mto kwa njia ile ile.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list