Kama ilivyo kawaida yake, uongozi wa Simba leo umetambulisha usajili wa beki Tairone Santos da Silva kutoka Brazil klabu ya Atletico Cearense FC
Beki huyo mwenye umri wa miaka 30 amesaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia mabingwa hao wa nchi
Santos anakuwa mchezaji wa tatu kusajiliwa na Simba msimu huu akiungana na beki Gerson Fraga na mshambuliaji Wilker Henrique
No comments:
Post a Comment