Bondia Anthony Joshua amepokea kipigo kitakatifu cha TKO kutoka kwa Andy Ruiz Jr katika raundi ya saba kwenye mchezo uliokuwa unasubiriwa kwa hamu.
Mchezo huo uliopigwa alfajiri ya kuamkia leo Juni 2 nchini Marekani, Umepelekea Joshua kupoteza mikanda yake ya ubingwa wa dunia ya WBA, WBO, IBF na IBO.
Hili ni pambano la kwanza kwa Joshua kupoteza kwa TKO.
Hata hivyo, kipigo hicho kimekuja baada ya Joshua kuonekana akiwa karibu na rapper Drake ambaye kwasasa watu wengi wanamuona kama mtu mwenye gundu.
No comments:
Post a Comment