Uongozi wa klabu ya Yanga umewataka mashabiki wa timu hiyo wasiwe na wasiwasi kwani mchakato wa kukisuka upya kikosi chao unaendelea
Yanga tayari imekamilisha usajili wa wachezaji wawili wa kigeni Patrick Sibomana na Issa Bigirimana waliosaini mikataba jana mbele ya Makamu Mwenyekiti Fredrick Mwakalebela
Yanga itaendelea kuwapa mkikataba wachezaji wapya ambao wamemalizana na kocha Mwinyi Zahera aliyeondoka kuelekea DR Congo kujiunga na kambi ya timu ya Taifa
Wachezaji saba wa kigeni wanatarajiwa kusajiliwa wiki hii huku wengine wanne wazawa nao wakisubiri kupewa mikataba

No comments:
Post a Comment