We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, May 29, 2019

Tamisemi yaagiza halmashauri zote nchini kutoa ripoti ujenzi wa madarasa

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI, Joseph Nyamhanga ametoa siku saba kwa mikoa yote nchini kuwasilisha ripoti ya utekelezaji wa maagizo ya serikali juu ya ukalimishwaji wa maboma ya vyumba vya madarasa shule za msingi na sekondari.

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila Mara kusoma habari mpya

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list