Mlinzi wa Lipuli Fc Ally Sonso inaelezwa nae amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Yanga
Yanga ilianza kumuwania beki huyo tangu wakati wa dirisha dogo la usajili mwezi Disemba 2018
Anakuwa mchezaji wa pili kusajiliwa na Yanga mongoni mwa wachezaji wa ndani ambapo kocha Mwinyi Zahera alisema atasajili wachezaji wanne wazawa

No comments:
Post a Comment