Leo May 30, 2019 Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu ameelezea tukio zima la kukamatwa kwake katika ukurasa wake wa Instagram ambapo amesema waliokuja kuwakamata walivamia kama wanakamata mhalifu na walikuwa na silaha, bonyeza PLAY hapa chini kufahamu yote aliyoeleza.
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment