Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara ameishukuru kampuni ya kubashiri michezo ya SportPesa kwa kuleta timu kubwa kutoka La Liga, Sevilla FC na kujinasibu kuwa hata iwaongeze nyota hatari duniani Lionel Messi na Cristiano Ronaldo kwenye kikosi chao wakijumuisha na klabu za Real Madrid na Barcelona kamwe hawatatoka salama kwenye uwanja wa Taifa na kusisitiza kuwa dimba hilo ni kaburi kwa timu zote zinazotoka nje ya nchi.
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment