AKIWA katika Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi mkoani Dar es Salaam, Mkuu wa Mkoa huo, Paul Makonda amewaambia wafanyakazi waliohudhuria hafla hiyo kuwa wasione hali ni mbaya kwao tu bali hata Rais anajinyima sana.
Makonda amesema siku hizi akienda Ikulu anaishia kula korosho mpaka na wakati mwingine huzikataa kwa sababu zile kilo mbili alishazimaliza.
Ameweka wazi kuwa hadi Rais anajinyima posho na safari mbalimbali ili tu kuboresha maisha ya wananchi wake.
No comments:
Post a Comment