Said Rashid(36), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kwa tuhuma za kutenda kosa hilo.
Mshtakiwa anatuhumiwa kutenda kosa hilo mnamo mwaka 2016 na Aprili 2019 huko nyumbani kwake eneo la Mbezi Juu.
Hata hivyo mshtakiwa amekana kosa hilo na kurudishwa rumande kwa kushindwa kukidhi masharti ya dhamana(alitakiwa kuwa na mdhamini mmoja atakayesaini bondi ya Tsh. Milioni 1).
Kesi hiyo imeahirishwa hadi Juni 10 kesi hiyo itakapotajwa tena kutokana na kutokamilika kwa upelelezi.

No comments:
Post a Comment