We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, May 1, 2019

Aliyokutana nayo Kangi Lugola baada ya kuwahoji Mahabusu, haya hapa (+video)

Tunayo stori kutokea kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola ambapo amesema ni kawaida yake kutoa maelekezo baada ya kutembelea na kufanya ukaguzi katika vituo vya Polisi hasa Askari wanapotuhumiwa kuwabambikizia kesi mahabusu.
Waziri Lugola amesema kuwa moja kati ya vituo alivyovitembelea ni Sitakishari ambapo amebaini kasoro na ametoa maelekezo baada ya kuwahoji mahabusu kutokana na tuhuma za Polisi kuwabambikia kesi.
Kituo hiki ni moja kati ya vile ambavyo wananchi wanalalamikia kwamba vinabambikia watu kesi, hivyo leo nimekuja nimeingia mahabusu na kuwahoji kuhusu muda waliokaa na zipo kasoro na nimetoa maagizo,“amesema.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list