Msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop hapa Tanzania, Afande Sele amefunguka mengi sana baada ya msemaji wa Simba Haji Manara kusema kuwa Afande Sele hana hela ya kula anasubiria tu kufa. hii ilianzia pale Afande Sele alipomshambulia kwa maneno makali msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara kwa kusema kuwa ni mshamba na hana elimu ya kuiongoza klabu hiyo kwani ameunga unga tu elimu ya darasani .

Haya ndio maneno ya Afande Sele:-
No comments:
Post a Comment