Darnell Brim mtuhumiwa wa mauwaji ya 2 Pac amehukumiwa miaka 10 jela baada ya kukutwa na kosa la kutaka kuuza Dawa za kulevya ‘Cocain’.
Darnell Brim alikamatwa na madawa ya kulevya mwaka 2013, sasa amekiri kosa kuhukumiwa kifungo hicho.
Darnell Brim ni miongoni mwa watu wanne waliokuwa katika gari nyeupe aina ya Cadillac ambayo iliichapa risasi gari ya Suge Knight na kumuaa Tupac Shakur 1996 lakini polisi walishindwa kuthibitisha.
No comments:
Post a Comment