We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, April 1, 2019

Afrika imepata pigo kwa kumpoteza staa wa soka Afrika Kusini

Dunia ya soka leo imepokea taarifa za kusikitisha kuhusiana na moja kati ya mwanafamilia wa michezo kupoteza maisha, leo kutokea Afrika Kusini zimeripotiwa taarifa za kifo cha mchezaji wa club ya Free State Stars ya Afrika Kusini Sinethemba Jantjie.
Sinethemba Jantjie mwenye umri wa miaka 30 umauti umemkuta akiwa anatarajia kujiunga na club ya Bidvest ya Afrika Kusini, taarifa za kifo cha Sinethemba Jantjie zimekuja ghafla leo asubuhi na kueleza kuwa amepata ajali ya gari iliyopelekea kifo chake.
Taarifa zaidi za maandalizi ya mazishi yake zitatolewa baada ya familia kukaa kikao, Sinethemba Jantjie alijiunga na Free State 2016 akitokea Mbombela United, uwezo wake ulizidi kuvutia zaidi 2017 club Kongwe Afrika Kusini ya Kaizer Chief kutaka kumsajili ila dili lilishindikana kwa kutofikia makubaliano

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list