We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, April 1, 2019

Mbunge Msigwa akisali mbele ya Rais Magufuli “mpe hekima na maarifa” (+video)

Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa amefanya maombi mbele ya Rais Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli ambapo walienda kutoa mkono wa pole kwa familia ya Mbunge wa Iringa Mjini Mch Peter Msigwa ambaye amefiwa na Dada yake Tryphosa Simon Sanga aliyefariki dunia tarehe 30 Machi, 2019 kwa ajali ya gari Jijini Dar es Salaam.
RAIS MAGUFULI AMUAMBIA MSIGWA “DADA YAKO ALIKUWA MNYENYEKEVU”

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list