We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, March 29, 2019

Zidane sasa anamsubiria Rabiot amalizane na PSG

Baada ya mama mzazi wa mchezaji wa Paris Saint Germain Andrien Rabiot kukiri kuwa mwanae yupo PSG kumalizia mkataba wake hadi mwisho wa msimu ili aondoke, kwa madai ya kuwa anateswa PSG na anaonekana kama mfungwa, club ya Real Madrid imeanza kuinyatia saini ya staa huyo.
Real Madrid ambayo ipo chini ya kocha wao mpya Zinedine Zidane inatajwa kuwa imeanza kumuweka katika rada zao Andrien RabiotASwameripoti kuwa Real Madrid na Rabiotwamefikia makubaliano tayari wanasubiri mkataba wake umalizike mwisho wa msimu huu.
Andrien Rabiot mwenye umri wa miaka 23 ameondolewa kufanya mazoezi na kikosi cha kwanza cha PSG, hajapata nafasi ya kuichezea PSG toka December baada ya kugoma kusaini mkataba mpya katika club hiyo, Zidane alikuwa anataka kumsaini Rabiot toka msimu wa majira ya joto uliopita kabla ya kujiuzulu Real Madrid.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list