We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, March 27, 2019

Wanawake: Kama Unampenda Mumeo, Mpende na Mama Mkwe


Habari wakuu, 

Kumekua na tabia kwa baadhi ya wanawake ya kupenda waume zao na kuwachukia wazazi wa kike wa wawaume zao. 

Hii tabia imekithiri katika baadhi ya ndoa nyingi, wanawake hao wamekua wabinafsi sana, hawataki kuendeleza mahusiano ya mume wake na familia ya mumewe. 

Mfano, unakuta mtoto huyo wa kiume ni tegemeo la nyumbani kwao au wakati mwingine sio tegemeo ila lazima atume kiasi flani cha matumizi nyumbani kwao, lakini mkewe akiona hivyo anazuia hataki pesa zitumwe kwa mama mkwe. 

Wakati mwingine mama huyo anaumwa na anahitaji kuja kutibiwa kwa mwanae, lakini mwanamke anakasirika na kumwambia mumewe asije kupata matibabu nyumbani kwao. 

Wanawake wengine wamekua wakigombana na mama wa waume zao bila hata aibu, lakini eti akiwa na mumewe anampenda. Wanawake wenzangu tujifunze kuwaheshimu mama wa waume zetu na tuwapende kama mama zetu. 

Kama unampenda mumeo, mpende na mama mkwe


Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome nenda sehemu ilipo radio shuka chini bonyeza neno SHARE THIS APP

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list