We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, March 29, 2019

Uwanja wa Uhuru, waiva kama Old Trafford

Tafsiri ya Uwanja wa Uhuru kuitwa 'Shamba la bibi' unaweza kuwa na sura mpya hivi sasa baada ya maboresho yanayoendelea kufanyika kuelekea michuano ya AFCON ya vijana wa U-17.


Muonekano wa Uwanja wa Uhuru
Uwanja huo uliitwa Shamba la bibi kutokana na timu nyingi kukimbilia kufanya mazoezi au kuchezea mechi, hali iliyopelekea hata kupoteza ubora wake wa eneo la kuchezea kutokana na kujaa mchanga na kuchakaa.
Hivi sasa uwanja huo uko katika matengenezo kwaajili ya Michuano ya Mataifa ya Afrika ya Vijana chini ya miaka 17, ambayo Tanzania itakuwa mwenyeji mapema mwezi ujao.
Nyasi za bandia zimeshaanza kutandikwa katika uwanja huo na kuufanya kuwa na muonekano wa kisasa kama viwanja vingine vizuri na vikubwa kama Old Trafford wa Manchester United na vingine vingi.
Michuano hiyo ya vijana ya AFCON inazishirikisha nchi za Uganda, Senegal, Morocco, Angola, Cameroon, Guinea, Nigeria na wenyeji Tanzania. Jumla ya viwanja vitatu vitatumika, ambavyo ni Uwanja wa Uhuru, Uwanja wa Taifa na Uwanja wa Azam Complex

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list